Tamasha Hili Linahusu Nini?

Maadhimisho haya yanalenga kutoa fursa kwa wataalamu, wapenzi na wadau wa Kiswahili na utamaduni wake kujadili “MCHANGO WA KISWAHILI NA UTAMADUNI WAKE KATIKA KUCHOCHEA MAENDELEO ENDELEVU” Aidha maadhimisho yatatoa nafasi kwa wadau wa Kiswahili na Utamaduni kushiriki katika burudani mbalimbali zinazoendana na Kiswahili na Utamaduni wake.

Walengwa ni wakina Nani?

 • Wadau na wapenzi wa Lugha ya Kiswahili
 • Vyama vya Kiswahili
 • Wanafunzi wa kigeni wanaojifunza lugha ya Kiswahili
 • Taasisi zinazofundisha lugha ya Kiswahili na Utamaduni waandishi na wachapishaji wa vitabu vya kiswahili.
 • Wanahabari
 • Wanafunzi na walimu wa Kiswahili

Wawasilishaji

Dr. Harison Mwakyembe

Dkt. Ernesta Mosha

Dr Selemani Sewangi

Prof. Ken Walibora

EZRA MBOGORI

Wadhamini

Jisajili kwa kupata Barua pepe

Mada Zitakazojadiliwa

 • KISWAHILI NA UBORESHAJI WA MAISHA YA JAMII KUPITIA ELIMU KWA UMMA. Dkt. Seleman Sewangi
 • KISWAHILI NA UTAMADUNI KATIKA KUIMARISHA AMANI, USALAMA NA UMOJA. Mhe. Dkt. Sefu Khatibu
 • KISWAHILI NA UTAMADUNI KATIKA UJENZI WA UMAJUMUI WA AFRIKA. Ndg. Ezra Mbogori
 • TAFSIRI KATIKA UKUZAJI WA UTALII KWA MAENDELEO ENDELEVU.Dkt. Hadija Jilala
 • KISWAHILI NA UJENZI WA URAZINI NA UBUNIFU KWA MAENDELEO YA JAMII. Prof. F.E.M.K. Senkoro
 • KISWAHILI NA UTAMADUNI KATIKA UJENZI WA UZALENDO WA AFRIKA MASHARIKI. Prof. Kenneth Simala
 • UTAMADUNI NA FURSA ZA MAENDELEO ENDELEVU YA MWANAMKE. Dkt. Ernesta Mosha
 • KISWAHILI DUNIANI NA FURSA ZA KIUCHUMI. Prof. Ken Walibora
 • FASIHI YA KISWAHILI KATIKA KUIBUA MAARIFA ASILIA KWA
 • MAENDELEO ENDELEVU. Prof. M.M. Mulokozi
 • KISWAHILI NA VYOMBO VYA HABARI. Ndg. Victor Elia

Shiriki nasi kwenye mitandao ya kijamii