Jinsi ya Kushiriki Tamasha

Ili kujisajili kuhudhuria tamasha la Kiswahili na utamaduni mshiriki atatikiwa kulipia kiasi cha shilingi elfu 60,000/= , mwanafunzi ni shilingi elfu 30,000/=

Kupitia benki ya CRDB akaunti namba 0150406425901 jina la akaunti ni MS TCDC.

Baada ya kukamilisha malipo mshiriki atatakiwa kujisajili kupia website yetu ambayo ni www.sikuyakiswahili.org baada ya hapo utakuwa tayari umejisajili,

Ilikuhakiki usajili wako piga simu namba 0713 727 806 au kwa kutuma email tamasha2019@mstcdc.or.tz

Maonyesho Katika Banda

a. Uzoefu wa ufundishaji lugha ya Kiswahili kwa wageni (Teaching Swahili language to foreigners) 

b. Ugeni nyumba (Home stays)

 c. Mafunzo kwa vitendo (Internships)

 d. Wachapishaji wa vitabu vya Kiswahili Kwa wale watakaopenda kuwa na mabanda ya kuonesha bidhaa zao wanaombwa kutuma maombi ya kujisajili kwa Said Omary tamasha2019@mstcdc.or.tz 

 

Burudani mbalimbali

a. Mavazi ya Mswahili 

b. Vyakula na vinywaji vya Kiswahili 

c. Mapambo ya asili, shanga, hinna na n.k 

d. Mitindo mbalimbali ya ususi wa nywele 

e. Sanaa za maonesho zenye asili ya pwani

Michezo ya asili

a. Karata 3 

b. Bao  

c. Myeleka

 d. Mdako na n. k. 

Tumbuizo za asili

🎼 Nyimbo
📼Hadithi
🥁Ngoma za asili ya pwani
🗣Malumbano ya ushairi (ukuta)
🕺Majigambo
🗣Ngonjera
🕺Malani
🗣Taarab