Ili kujisajili kuhudhuria tamasha la Kiswahili na utamaduni mshiriki atatikiwa kulipia kiasi cha shilingi elfu 60,000/=  za kitanzania , mwanafunzi ni shilingi elfu 30,000/= Kupitia benki ya CRDB akaunti namba 0150406425901 jina la akaunti ni MS TCDC. Baada ya kukamilisha malipo mshiriki atatakiwa kujisajili kupia website yetu ambayo ni www.sikuyakiswahili.org  baada ya hapo utakuwa tayari umejisajili, Ilikuhakiki usajili wako piga simu namba 0713 727 806 au tuma barua pepe tamasha2019@mstcdc.or.tz